Mwanzilishi na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Tesla ambayo inahusika na uundaji wa gari zinazotumia umeme nchini Marekani Elon Musk alisema kampuni yake mpya ya Neuralink Corp. wanataka kuunganisha ubongo wa binadamu na kompyuta kwa kutumia mashine za ubongo na vifaa vidogo sana.
No comments