Header Ads

  • Breaking News

    USINGIZI UNAVYOONDOA MSONGO WA MAWAZO

    Wataalamu wa afya ya akili wameeleza jinsi mtu anavyoweza kuondokana na msongo wa mawazo ‘stress’, kwa kutumia usingizi mororo.

    Imeelezwa kuwa mtu anapopata msongo wa mawazo baadaye huingia katika hatua ya pili ya sonona ‘depression’ ambayo ikiwa hatapatiwa tiba kwa uharaka, anaweza kuingia hatua nyingine ya kuamua kujiua ama kuua.

    Mtaalamu wa saikolojia, Rehema Anthony amesema ili kuondokana na matatizo hayo mtu akipata usingizi mororo hutibu mambo mbalimbali katika mwili, kwani hupumzisha akili na mwili.

    Rehema anasema akili inapokuwa na msongo wa mawazo na mwili pia unakuwa hivyohivyo na kusababisha shinikizo la damu kuwa juu, lakini pia mfumo wa mmeng’enyo wa chakula hushuk

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad