Header Ads

  • Breaking News

    MBUNGE WA NYAMAGANA,MWANDISHI WA HABARI WAPATA AJALI YA GARI NA TREKTA

    Watu watano akiwemo mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi John Dotto  na mbunge wa Nyamagana Mkoani Mwanza Stanslaus Mabula wamenusurika kifo baada ya kupata ajali eneo la Dumila mkoani Morogoro


    Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo imehusisha gari lao kugongana na Trekta lililokuwa likingia bila tahadhari barabara kuu .


    Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro.

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad